moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Amina.
Omba ulinzi wake tu aisee, ile ngoma isikie kwa mwingine
Nikichelewaga kulala kuna situation inanitokeaga, huu mwaka ilitoweka lakini naona Leo imerudi, hapa nimeamka nimewasha taa nimekaa kitandani 😂Issue gani hiyo?
😂😂😂😂😂😂Fundi maiko acha hizo..View attachment 1201212
Aisee pole,Nikichelewaga kulala kuna situation inanitokeaga, huu mwaka ilitoweka lakini naona Leo imerudi, hapa nimeamka nimewasha taa nimekaa kitandani 😂
Wanaitaga sleeping paralysis.
Muda gani kivipi? Kwamba inadumu kwa muda gani auAisee pole,
Nimeigoogle hapa.Inaktokea kwa mda gani hii?
Ndio, kwamba ikishaanza unakaa mda gani hadi kuweza kumove.Muda gani kivipi? Kwamba inadumu kwa muda gani au
Ni dk tu na sidhani kama zinazidi 5 ila Baba wee unaweza kuhisi ni saa nzima 😂Ndio, kwamba ikishaanza unakaa mda gani hadi kuweza kumove.