Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
United baada ya kumchapa Chelsea mechi ya mwanzo amechemsha katika mechi tatu zilizofuata dhidi ya Wolves, Palace na Southampton.
Hahahaha mpendwa muoga kama Mimi naogopa vile vifaa vya kung'oa jino nikifikilia akili inagoma kabisa na ile sindano ya kuchomwa kwenye fiziikabidi nimwambie nitarudi ila sikurudi tena.
HahahaaOmni Resort. Ilibidi tu niondoke [emoji2221][emoji2221]
View attachment 1201648
hahahahahahHahahaha mpendwa muoga kama Mimi naogopa vile vifaa vya kung'oa jino nikifikilia akili inagoma kabisa na ile sindano ya kuchomwa kwenye fizi
Hello sis,Kama hili lingemtokea Jose Mourinho nadhani sasa hivi kelele zingekuwa zimeanza.
Hivi Kuna Msukuma asiekuwa baharia maana Kabila linapenda nanii mno 😃😃. (joke)Hakuna baharia wa Kisukuma wewee...
Msukuma na ubaharia wapi na wapi? [emoji16][emoji16]
Siku hizi mwanamke wa kweli (kwa muktadha huu) utampata wapi?
Hellow bradha nipo poa kabisa,mzima?Hello sis,
Mzima?Natumai wkend yako inaenda vizuri pande za Burigi.