Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Hahahaha nimecheka hapo ulipo malizia ukuje mpendwahahahahahah
hamna bana, kung'oa meno manne sio jambo jepesi hasa ukizingatia kuwa mimi hayanisumbui sana ukiachana na kile kipindi cha stress za exams.
Siku yakiuma haswahaswa nitang'oa.
#ukitakaMtuAkusindikizeKung'oaNiambieNije