Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Hahahaha nimecheka hapo ulipo malizia ukuje mpendwahahahahahah
hamna bana, kung'oa meno manne sio jambo jepesi hasa ukizingatia kuwa mimi hayanisumbui sana ukiachana na kile kipindi cha stress za exams.
Siku yakiuma haswahaswa nitang'oa.
#ukitakaMtuAkusindikizeKung'oaNiambieNije
Mzima pia.Hellow bradha nipo poa kabisa,mzima?
Si mitaa ile ile ya mbuzi nini sijui😀Hahahaha nimecheka hapo ulipo malizia ukuje mpendwa
😂😂😂😂Fundi maikoView attachment 1201709
Ubaharia na Usukuma haviendi pamoja mpendwa. Sijawahi ona baharia mshamba [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi Kuna Msukuma asiekuwa baharia maana Kabila linapenda nanii mno [emoji2][emoji2]. (joke)
Kwani Wasukuma washamba ila comment yako umeandika kimtego🤣🤣🤣Ubaharia na Usukuma haviendi pamoja mpendwa. Sijawahi ona baharia mshamba [emoji16][emoji16][emoji16]
Na mwaka kesho watatembelewa kweli. Na kanga watapewa. Na baisikeli. Na mabati. Na kura watapiga ...Hodi mwanachama wetu..View attachment 1201707
Vingunguti kiembe mbuzi 😃😃😃Si mitaa ile ile ya mbuzi nini sijui😀
Tanzania nzima wanaongoza kwa ushamba wakifuatiwa na Wanyakyusa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kwani Wasukuma washamba ila comment yako umeandika kimtego[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mwaka kesho watatembelewa kweli. Na kanga watapewa. Na baisikeli. Na mabati. Na kura watapiga ...