myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sijambo SYBCarba hujambo?
Jamaniiii...Sijambo SYB
Kwema?
[emoji23][emoji23]aiseehTRM haipo tena toka mzaramo apate mtekaji wa kisukuma kawa mpole kama sio yy [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku salama pia bro,Mungu ni mwema[emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]namlea nan et jirani?
Mie mzima kabisa namshukuru Mungu.Jamaniiii...
Mimi sijambo shemeji yangu kipenzi. Unaendeleaje? Hekaheka zako zitaisha lini ili uweze kujumuika nasi humu regyulale? Halafu kuna tetesi humu eti unalea. Ni kweli?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sijambo SYB
Kwema?
Salaam kaka akeSalaam carba
Kwa hiyo tuzipuuze hazina ukweli wo wote ama?Mie mzima kabisa namshukuru Mungu.
Hizo tetesi nami nimeziona[emoji23][emoji23] kwakweli
Salaam kaka ake
Kwema?
Hizo tetesi zipuuzwe tuKwa hiyo tuzipuuze hazina ukweli wo wote ama?
Alhamdulillah kaka ake.Kwema, za siku kadhaa