Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa Wahenga tu.
Kumbuka hiyo....Posta-Temeke.
Miaka hoyooo
FB_IMG_1568036314083.jpeg
 
2. Antoine Griezmann – Euro 120 milioni

Antoine Griezmann alitarajiwa kujiunga na Barcelona mwaka jana, lakini Mfaransa huyo alibaki Atletico Madrid na kuongeza mkataba mwingine. Kufumba na kufumbua, mwaka mmoja baadaye, mshambuliaji huyo wa Ufaransa amekwenda kujiunga na Barcelona kwa ada ya Euro 120 milioni. Wakati sasa kina Luis Suarez na Lionel Messi wakiwa wagonjwa, Griezmann anabeba majukumu ya kuisaidia Barcelona kwenye ligi.
 
1. Joao Felix – Euro 126 milioni

Kuondoka kwa Griezmann kwenda Barcelona kuliwafanya Atletico Madrid kutumia pesa nyingi kuziba pengo lake kwa kumsajili kinda Joao Felix walipolipa Euro 126 milioni kuvunja mkataba wake huko Benfica. Mreno huyo ndiye mchezaji ghali zaidi kwenye kikosi cha Atletico Madrid, lakini akiwa kinda aliyegharimu pesa nyingi baada ya Kylian Mbappe. Ameshafunga bao na kuasisti kwenye kikosi cha Atletico kwa msimu huu.
 
Back
Top Bottom