Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2022 zinatarajiwa kufanyika Novemba na Desemba ili kulikwepa jua kali la Ghuba.

"Mpira wa miguu, ni kama skafu ambayo inanguvu katika maisha ya kila siku," ufafanuzi wa kamati ya maandalizi ya fainali hizo.
 
Mnamo Mei, uwanja wa al-Janoub unaoweza kuingiza mashabiki wapatao 40,000, ulikuwa uwanja wa kwanza kuzinduliwa kwa fainali hizo.Uwanja huo, ulioko katika mji wa pwani kusini mwa Doha, inakadiriwa kuwa na gharama karibu dola 575 milioni.
 
FB_IMG_1567761188559.jpeg
 
Back
Top Bottom