Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

#BintiMpole vipi alisharudishiwa Nywila zake?
Aa wapi....
Za kunyapia nyapia ni kwamba eti... Inasemekana lakini, eti binti mpole, sina uhakika usinikwoti vibaya, ila eti.... Yaani ndio hivyo yaani...
Mwacheni Mungu aitwe Mungu, Ankoo wangu atafika mbali sana.
Namuombea kwa Mungu ndoto zake zitimie kwa 100%
 
Watu wanamwaga sumu za hatari humo, wenye macho waingie waone udhalimu wa Adolf Hitler na wafuasi wa chama chake cha Nazi
 
Karibuni Taifa tuwape sapot vijana wetu
FB_IMG_1568044014915.jpeg
 
Aa wapi....
Za kunyapia nyapia ni kwamba eti... Inasemekana lakini, eti binti mpole, sina uhakika usinikwoti vibaya, ila eti.... Yaani ndio hivyo yaani...
Mwacheni Mungu aitwe Mungu, Ankoo wangu atafika mbali sana.
Namuombea kwa Mungu ndoto zake zitimie kwa 100%
Wajanja weshabeba jumla ama?

Dah !!!
 
Kweli kuna mapacha wasio juana,lisingekuwa hilo shati mzaramo ningemvunja viguu vyake kwa kuisambaza picha(sura ya mbuzi,kichwa tofari) bila idhini yangu [emoji3][emoji3][emoji3]

#mwanaumeshughulisurazipoInstagram
#mwanamkehatetemikwasurailakwaparachichinenerefulililopindambele.

Eti mwanamke hatetemi kwa sura ila kwa Parachichi nene refu lililopinda mbele

Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom