moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Home again
,Mnakumbukwa sanaaaaa
Anatakiwa aanze kuzoeshwa kula chakula kama hiki mapema kabisaView attachment 1203473
Fresh sana bro, vipi za siku 2, 3?Bro niaje
Asante, asante sana mzee wa TMKUnapotea bro,
Pole na majukumu na karibu tena nyumbani[emoji120][emoji120]
Hahah!Aa wapi....
Za kunyapia nyapia ni kwamba eti... Inasemekana lakini, eti binti mpole, sina uhakika usinikwoti vibaya, ila eti.... Yaani ndio hivyo yaani...
Mwacheni Mungu aitwe Mungu, Ankoo wangu atafika mbali sana.
Namuombea kwa Mungu ndoto zake zitimie kwa 100%
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fresh sana bro, vipi za siku 2, 3?
Asante, asante sana mzee wa TMK
Hii kauli nzito sana broShwari kaka, tupo tunaendeleza, kumalizia siku zetu za kuwepo hapa Duniani kabla hatujawapisha wengine wachukue nafasi zetu