Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

#BintiMpole vipi alisharudishiwa Nywila zake?
Aa wapi....
Za kunyapia nyapia ni kwamba eti... Inasemekana lakini, eti binti mpole, sina uhakika usinikwoti vibaya, ila eti.... Yaani ndio hivyo yaani...
Mwacheni Mungu aitwe Mungu, Ankoo wangu atafika mbali sana.
Namuombea kwa Mungu ndoto zake zitimie kwa 100%
 
Watu wanamwaga sumu za hatari humo, wenye macho waingie waone udhalimu wa Adolf Hitler na wafuasi wa chama chake cha Nazi
 
Wajanja weshabeba jumla ama?

Dah !!!
 

Eti mwanamke hatetemi kwa sura ila kwa Parachichi nene refu lililopinda mbele

Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…