Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Thanks sana, nasikia umezaliwa leo?King welcome back
Hahaha hamna nasherehekea tuThanks sana, nasikia umezaliwa leo?
Bro bro nishafika huko34 utawahi?
Yote kwa yote enjoy
Mkatalunya...Thanks sana, nasikia umezaliwa leo?
Mmh nshatoka huko zamaaaniiiAmekupunguzia kumbe ni 24
Tafsiri safi kabisa hii [emoji16][emoji16][emoji16]ngoja nimtafsirie mpemba mimi.
usinywe pombe nyingi siku ya leo, mabaharia na fundi maiko wanakukodolea mimacho mrembo wewe
nina miaka 18 sijafika huko.Tafsiri safi kabisa hii [emoji16][emoji16][emoji16]
Pemba huko hamjambo?
Hapo sasa.Anakionea aibu Kitambi lakini kufanya mazoezi hataki[emoji23][emoji23]
Hii habari unaikwepa kwepa sana 😁Hahaha hamna nasherehekea tu
Kwema sana bro sijui huko ulipo wewe?Mkatalunya...
Lijamaa...
The Kingi himuselfu...
Kwema huko ulikokuwa?
Karibu tena