Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Habari ya leo ankoo
 
Hii kauli inaumiza sana. Yaani mimi ipo siku macho yatafumba, hayataona tena mema ya hapa duniani!
Imagine. No misambwanda evaa. No konokono. Parachichi nene refu lililopinda kwa mbele linakuwa yuzilesi linaliwa tu na mafunza. Kimyaaa tena aloni chini ya ardhi. Ukifikiria sana haya mambo mpaka unamkumbuka hata Kiranga yaani. Ni kweli hakukuwa na njia nyingine ya kuyatengeneza haya maisha yakawa kivingine? Yote haya ni kwa sababu tu maboya wawili waliodanganywa mpaka wakadanganyana wakala tunda lililokatazwa? Ngumu kumesa yaani ila basi ndo hivyo hakuna la kufanya [emoji36][emoji36][emoji36][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hebu nikumbushe ile ishu ya Madilu Systeme nifanye makalikyuleisheni hapa. Kalikyuleta ninayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…