Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tena huyo nduli anayemnyima freedom ajiandae [emoji16][emoji16][emoji16]Pambania upate freedom yako ukishindwa wanaharakati tutaingilia kati na #hash tag
Huyu binti kashikiwa uhuru wake kwa muda mrefu san, inasikitisha, lazima tufanye jambo kumkomboa kwa Nduli kandamiziTena huyo nduli anayemnyima freedom ajiandae [emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja tuwaite na wanaharakati wengine akina BAK tuje tumwonyeshe cha moto huyo nduli dikteta [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu binti kashikiwa uhuru wake kwa muda mrefu san, inasikitisha, lazima tufanye jambo kumkomboa kwa Nduli kandamizi
Haha!!huko nimewaacha kina king mswatiKaribu sana...ila achana na mambo ya TRM
πππππ. Duh!Ngoja tuwaite na wanaharakati wengine akina BAK tuje tumwonyeshe cha moto huyo nduli dikteta [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Pambania upate freedom yako ukishindwa wanaharakati tutaingilia kati na #hash tag
πππHaha!!huko nimewaacha kina king mswati
[emoji23][emoji23]niwache basiHuyu binti kashikiwa uhuru wake kwa muda mrefu san, inasikitisha, lazima tufanye jambo kumkomboa kwa Nduli kandamizi
Linalo niumiza zaidi kama kwenye kundi ninaloliaminia hakutakuwa na mbebez wenye misambwanda,konokono na parachichi havita pata nafasi ya kuliwa.Imagine. No misambwanda evaa. No konokono. Parachichi nene refu lililopinda kwa mbele linakuwa uzilesi linaliwa tu na mafunza. Kimyaaa tena aloni chini ya ardhi. Ukifikiria sana haya mambo mpaka unamkumbuka hata Kiranga yaani. Ni kweli hakukuwa na njia nyingine ya kuyatengeneza haya maisha yakawa kivingine? Yote haya ni kwa sababu tu maboya wawili waliodanganywa mpaka wakadanganyana wakala tunda lililokatazwa? Ngumu kumesa yaani ila basi ndo hivyo hakuna la kufanya [emoji36][emoji36][emoji36][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Itakua poa sana maana tumekumiss wa zamani najua sasa hivi tupo wote ila mtu anakupiga chabo π[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko mbioni kuwa huru