Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Habari njema hizi.Mambo yanaenda vizuri mpaka inapitiliza bro, vipi za kwako?
Huyu baharia hajijui.
Ni salama tu numby, vipi mahali hapa kwemaa..!?Hahahaa eti mwaliko
Wakishua uliadimika,za ulipokua?
Kwema kabisa huku sweta la Tanzania huku uzi wa 7800 mara baharia wa 78000 mambo ni fireeeNi salama tu numby, vipi mahali hapa kwemaa..!?
Shibemwanamme rijali na miguu yako mitatu unapotoka nyumbani kwako hadi nyumba ya mwanamme mwenzako kwa dhumuni la kumuomba msamaha kwa jambo sahihi ulilolitenda ni ukosefu wa hekima, busara na uaminifu kwa wale waliokuwekea imani.