Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Wanaweza tu kufungua App na kuona anavyoendelea huko kaburini...Kwa hiyo hata akioza familia yake watakuwa wanamuona?
Salama bro.
Hizi habari za Kipilimba zimekaaje?
Nimekuja kuaga
Niko poa dogo. Huko kwako vipi?
hahahahah, aisee.Kisiasa.
Tumuachie Amir Jeshi Mkuu mwenyewe aamue.
Si ndiyo wanafanya mitihani ama?Wapi uniq
Salama bro.Niko poa dogo. Huko kwako vipi?
Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Miaka 26. Hata wewe ni wale wale tu...Salama bro.
Mungu ni mwema.
#UdogoTuwaachieKinaNingeNaKing
Indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei and Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai ende Lucifer Orijino is mai anaza neimu maadui zangu wafe wote pamoja na vizazi vyao [emoji16][emoji16][emoji16]Wapi Lucifer original
hahahahahaha,Miaka 26. Hata wewe ni wale wale tu...
#UkiitwaBabaNitakutoaKwenyeUdogo
#Kazana
Kwenye sredi yake ya mapishi kule atakuwepo.Wapi farkhina
Tunasubiria kwa hamu....hahahahahaha,
Ngoja nikazane bana.
Bado mweupe au alisharudi kwenye uhalisia wake?Mwenyewe anadai maji ya kunywa yamebadirisha rangi yake.
Kunyweni maji kwa wingi muwe kama yeye View attachment 1205845