Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Diwani kakabidhiwa mikoba ya kuhakikisha ushindi unapatikana 2020.Salama bro.
Hizi habari za Kipilimba zimekaaje?
Diwani kakabidhiwa mikoba ya kuhakikisha ushindi unapatikana 2020.Salama bro.
Hizi habari za Kipilimba zimekaaje?
hahahahahahahahahaha,Tunasubiria kwa hamu....
#Identikotwiniitapendezazaidi
#UkihitajiUshauriSema [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
hatari sana, japokua wabobezi walishaona kuwa jamaa angeondolewa mda wowote.Diwani kakabidhiwa mikoba ya kuhakikisha ushindi unapatikana 2020.
Ushindwe na ulegee. TRM imeshakufa rasmi. Hata Mkurugenzi wake ameshasema hivyo. Hizi figisu figisu naomba zife !!!Dua zenu, rafiki yetu anaelekea mkoani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]View attachment 1205840
Tuyaache haya bro. Wewe kazana tu.hahahahahahahahahaha,
Hilo darasa itabidi tujiandikishe wengi.
#NiKwaNadhariaNaVitendoAu?
#NishaonaUkiombaVitendo😀😀
Indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei and Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai ende Lucifer Orijino is mai anaza neimu maadui zangu wafe wote pamoja na vizazi vyao [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwenye sredi yake ya mapishi kule atakuwepo.
Bado mweupe au alisharudi kwenye uhalisia wake?
Ushindwe na ulegee. TRM imeshakufa rasmi. Hata Mkurugenzi wake ameshasema hivyo. Hizi figisu figisu naomba zife !!!
View attachment 1205925
A good day to you bro.Tuyaache haya bro. Wewe kazana tu.
#BinafsiNakuombeaSana
#VitotoNiMibaraka