moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hatabirikagi. Anaweza akaja kivingine kabisa ukaniponza. I hope jino lake majani ya karafuu yanaendelea kufanya kazi vizuri [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi bint mpendwa, unaitwa huku
King umejuaje?Sawa sawa
Wamarekani bwana. Sasa asipokwenda Matekani ndiyo nini? Au kawekeza huko wanataka wakamate mali zake?
Tunafungwa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Tukutane Taifa View attachment 1207193
Duh! Halafu lizuri [emoji16][emoji16][emoji16]Pepo ni nini....View attachment 1207186
Safi sana. Tujenge utamaduni huu mzuri
Kichapo kinamhusu [emoji16][emoji16][emoji16]Acha utukutu dogoView attachment 1207182
Akili kubwa hii...[emoji16][emoji16]Happy birthday KUBView attachment 1207175
Hatabirikagi. Anaweza akaja kivingine kabisa ukaniponza. I hope jino lake majani ya karafuu yanaendelea kufanya kazi vizuri [emoji16][emoji16]
hao wanaume wajinga kweli, ningelikuwa ni mimi ningelikuwa natuma maombi ya kazi kila wiki kwa kutumia ID tofauti kama walivyo fyekero wa JF.Pepo ni nini....View attachment 1207186
Wamarekani bwana. Sasa asipokwenda Matekani ndiyo nini? Au kawekeza huko wanataka wakamate mali zake?
Marekani Marekani utafikiri Marekani ni mbinguni. Shwaiiiniii
1.Kesho tuonane basiKing umejuaje?
Tunafungwa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Duh! Halafu lizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi nilifikiri hivyo hivyo. Mpaka moyo umeniuma yaani. Halafu eti mianaume mizima imeenda kulalamika.hao wanaume wajinga kweli, ningelikuwa ni mimi ningelikuwa natuma maombi ya kazi kila wiki kwa kutumia ID tofauti kama walivyo fyekero wa JF.