moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Akili kubwa hii...[emoji16][emoji16]
hao wanaume wajinga kweli, ningelikuwa ni mimi ningelikuwa natuma maombi ya kazi kila wiki kwa kutumia ID tofauti kama walivyo fyekero wa JF.
Kama kaweka huko atakuwa fala...Wafrika wasipoenda Marekani wanadhani hawatafika mbinguni,
Usikute keshaweka utajiri wake huko
Mtego gani πππΆUmekwepa mtego wangu eeeh?
Short hair is OK. Mabinti wengi wanapendezaga sana...confident. independent. Free....
labda ni shemale ndio maaana wameamua kumshitaki kiujanja.Hata mimi nilifikiri hivyo hivyo. Mpaka moyo umeniuma yaani. Halafu eti mianaume mizima imeenda kulalamika.
InawezekanaIna maana tunafungwa leo?
Si yako pale ulipo mkiateh teh
hivi makalio ya paka unayajua yalipo?
Haha sinyoi upara bana.unanyoa upara kwani umekuwa mfuasi wa buddha?
paka wengi wamejaaliwa mifupa.Si yako pale ulipo mkia
labda ukifanyiwa operation ya kichwaHaha sinyoi upara bana.
Ila kuna mahali upara lazima wee πΆ
Ohh!!paka wengi wamejaaliwa mifupa.
hata binadamu wapo wasiokuwa na makalio kwa sababu ya kukosa nyama mwilini π π π π
teh teh tehOhh!!
π sasa na sisi tuliokosa nyama tufanyeje ili zije ?
Mbona popcorn nakula sana tu π lakini niko vile vileteh teh teh
pendelea kutafuna pop corn nasikia zinaongeza nyama mwilini lakini mjinga mimi situmii π π π
siamini uchawi kwenye mapambano ya kujenga mwili.
View attachment 1207211
Aaa wapi. Unakuwa tu creative unabadili badili swaga, mwonekano na miondoko kwenye gemu; na sauti...Hagundui ng'o!!!Hahahahaha, fyekero la aina hiyo litashtukiwa bro[emoji23][emoji23]