D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
itakuwa huweki maziwa ya ngamia ndani yakeMbona popcorn nakula sana tu π lakini niko vile vile
Kwani SHIMBA YA BUYENZE nakosea wapi mie π
Ukikaa na mimi nakupa miezi mitatu utakuwa umefumka msambwanda na utipwatipwa wa kishikaji hivi maridadi sana [emoji16][emoji16]Mbona popcorn nakula sana tu [emoji849] lakini niko vile vile
Kwani SHIMBA YA BUYENZE nakosea wapi mie [emoji23]
Utapendeza sana !!!Naenda kusuka hii
Utapendeza sana !!!
Weekend ipo ipo tu. Leo niko Taifa kuangalia mpira wa Yanga. Kwako huko vipi? Kipupwe bado?Weekend inasemaje?