D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Bado kidogo...Weekend ipo ipo tu. Leo niko Taifa kuangalia mpira wa Yanga. Kwako huko vipi? Kipupwe bado?
Asante. Barikiwa (ALWAYS) [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Bado kidogo...
Mpira mwema....
Mbona wewe hii avatar unayotumia sasa ndo unaipenda zaidi ya zingine zote? Iache ikae japo miezi 6hivi wenzangu munawezaji kukaa zaidi ya siku mbili bila ya kubadilisha avatar?
dah kuna watu wana zaidi ya miaka 3 hawajabadilisha avatar au hawajui kudownload picha?
teh teh teh
Eeh! Kumbe nayo yanatakiwa? Basi nitaanza kuyatumiaitakuwa huweki maziwa ya ngamia ndani yake
ulipokwenda mjini umekoga?Weekend ipo ipo tu. Leo niko Taifa kuangalia mpira wa Yanga. Kwako huko vipi? Kipupwe bado?
Anakudanganya. Kuna maziwa mengine mbadala yananenepesha kwa kasi zaidi tena huhitaji popcorn. Ninayo kwa wingi. Ni wewe na roho yako tu [emoji16][emoji16]Eeh! Kumbe nayo yanatakiwa? Basi nitaanza kuyatumia
π π π itabidi nijisogezeUkikaa na mimi nakupa miezi mitatu utakuwa umefumka msambwanda na utipwatipwa wa kishikaji hivi maridadi sana [emoji16][emoji16]
View attachment 1207218
Eeh! Kumbe nayo yanatakiwa? Basi nitaanza kuyatumia
πππ Fanya kama unanitumia kwa shabibyAnakudanganya. Kuna maziwa mengine mbadala yananenepesha kwa kasi zaidi tena huhitaji popcorn. Ninayo kwa wingi [emoji16][emoji16]
#Ifyouknowyouknow
naibadilisha kwa mudaMbona wewe hii avatar unayotumia sasa ndo unaipenda zaidi ya zingine zote? Iache ikae japo miezi 6
Hiyo ya kukoga ilishaisha. Sasa ni wahubiri kwenda kuhubiri kwenye mabaa na night clubs [emoji16][emoji16]ulipokwenda mjini umekoga?
wajukuu wa makonda wapo huko na wameshasema watamnusa kila mmoja wao.
ukigundulikana unanuka jasho unarudishwa kwenu usukumani
Sawa Mamy πUkipata hii kitu nishtue.....
[emoji6][emoji6][emoji6]
Karibu sana. Anytime[emoji28][emoji28][emoji28] itabidi nijisogeze
Na wewe unahitaji kunenepa?Ukipata hii kitu nishtue.....
[emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23] Fanya kama unanitumia kwa shabiby
π π π itabidi nijisogeze
teh teh tehAnakudanganya. Kuna maziwa mengine mbadala yananenepesha kwa kasi zaidi tena huhitaji popcorn. Ninayo kwa wingi. Ni wewe na roho yako tu [emoji16][emoji16]
#Ifyouknowyouknow