Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
muhindi akifanikiwa kujuwa jambo dogo tu atalitumia kwenye mishe zake za kutafutia hela.Wahindi wanapambana sana na kinachowaokoa ni teknolojia. Wamewekeza sana katika sayansi na tekinolojia. Leo hii ukifika Marekani mambo ya IT, Medicine na hata Uhandisi wametawala sasa.
Sijambo kabisa....karibu .
Ungependa kinywaji gani?
Karibu kijana mpole, habari za majukumu
Maji Tu yanatosha yasiwe ya baridi
inasemekana walimkimbia Numbisa baada ya CR7 kufunga magoli manne kwenye mechi moja
[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54], nimemuona mmoja yule mpole mkorofi....ntarudi[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]The Happiness njoo Majamaa Makatalunya leo yote yapo. Pulizi kamu [emoji16][emoji16][emoji16]
kuna walevi fulani aliwakuta juzi hawana hata jezi za hakibaHahaha kafunga Goli nne na timu ipi ??????
Hujambo lakini?[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54], nimemuona mmoja yule mpole mkorofi....ntarudi[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]