D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
wasubiri wenyewe watoke usingizini bwana cole upate kuanzisha huo mjadala, naona una maneno mengi kama kipande cha kanga.Ungewauliza Team Penaldo wanajua hat trick ya kwanza ya Leo Messi alifunga dhidi ya timu ipi Au ndiyo walikuwa wanafanya vichekesho
View attachment 1207310
Can you guess which scientific law this is,
Muulize hat tiriki ya messi argentina ilikua lini?na je anazo ngapi?wasubiri wenyewe watoke usingizini bwana cole upate kuanzisha huo mjadala, naona una maneno mengi kama kipande cha kanga.
hatrick ya ronaldo alifunga dhidi ya newcastle united.
hatrick ya messi nakumbuka ilikuwa dhidi ya madrid
View attachment 1207315
Yakuchemsha hayo yafanye ya kuoga, please