Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jibu la kifalme kabisa. Kweli wewe ni King [emoji123][emoji123][emoji123]1.Kesho tuonane basi
2. Kesho nina ratiba ya kwenda salon labda kesho kutwa
1. Kwani Salon utatumia muda gani?
2. Kama masaa matano au sita hivi
#IfYouknow
Daemusin. Wameshaanza. Dah !!!Tunaokota moja moja.
Poleni mashabiki wa New Castle View attachment 1207350
Nakusubiri mimi[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54], nimemuona mmoja yule mpole mkorofi....ntarudi[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Wahindi wanapambana sana na kinachowaokoa ni teknolojia. Wamewekeza sana katika sayansi na tekinolojia. Leo hii ukifika Marekani mambo ya IT, Medicine na hata Uhandisi wametawala sasa.