Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

andjul umeadimika babuu
Ni kweli binti yangu, ila kila mara huwa nakuja kukuchungulia kama upo salama.
Haya, nakuona mara kwa mara na hawa wazee humu, kuna hekima zozote unazichota kutoka kwao?
Usiache ucheshi wao uende bure, kwenye utani wao kuna mengi ya kujifunza, sawa mama?

Kuna sehemu nimeona unaulizwa sijui kunyoa sijui kipara?!!! Hata sikusoma vizuri maandishi yalikuwa hayaonekani.... Hata sijui umejibuje?!!! Achana na hilo...

Mungu ni mwema, nipo vizuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…