Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
I can feel when you re happy
Kama mie nabadili mara chachehivi wenzangu munawezaji kukaa zaidi ya siku mbili bila ya kubadilisha avatar?
dah kuna watu wana zaidi ya miaka 3 hawajabadilisha avatar au hawajui kudownload picha?
teh teh teh
HahahahahaaMpira tucheze sisi magoli tufungwe sisi. Dah!
Tulia huko ndio dk ya 30 tu 😂
Yuko nyuma ya banda wanalouzia speed,nenda kamcheki hapoJaman namtafuta dada janet nimefika apa Canada airpot nampigia cm hapatikan
ninachokiona hapa toka kwa jezi ya njanoTulia huko ndio dk ya 30 tu 😂
Ila tuna mlima mrefu kuupanda