Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unapomsaidia mtu mwingine unajisikia kuwa na thamani na furaha kwani umeweza kufanya kitu chenye manufaa kwenye maisha ya mtu mwingine.
Poa poa Anko zimefika na tupo pamojaMungu ni mwema ndugu yangu, uliadimika sana humu. Tumshukuru Mungu kama kila kitu kipo sawa.
Msalimie sana bimkubwa
Umesha wahi kumung'unya parachichi?
Yego [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
Zingatia kideo chako sasa hapo game ndio hiyo imeanzaNafatilia, wekeend zilizopita zilipo poa sanaa
Sasa nimeelewa kwanini uliniambia nisome hichi kitabu baada ya kuona nimemuambia binti mchangamfu avunje ile chupa...... asante kaka kama vipi ungana na mimi kuwaona City hapaKuna mvuvi mmoja masikini alijiwekea utaratibu wa kurusha ndoano yake mirusho mitatu tu, kwamba kile atakachovua huridhika na kwenda kuuza ili apate chakula cha watoto.
Siku moja aliporusha ndoano mara ya kwanza akavua utumbo wa mnyama uliotupiwa baharini, aliporusha mara ya pili akavua pakacha. ( kikapo kilichotengenechwa kwa makuti ya mnazi).
Akavitupa.
Aliporusha mara ya tatu akavua chupa la shaba, akashangaa, akaligeuza geuza.
Akajisemea moyoni kuwa ataenda kuliuza kwa matajiri wanaonunua chuma chakavu.
Hata hivyo alipoligeuza aliona mfuniko uliofungwa kwa ustadi.
Akadhani huenda humo ndani kuna vitu vya thamani,
Akajaribu kulifungua, baada kutumia nguvu akafanikiwa kulifungua.
Mara ukaanza kutoka moshi.
Moshi ulipotulia akajikuta ana kwa ana na jitu la miraba minne, jitu refu, nene, lenye sura mbaya na manyoya mwilini.
Hilo jitu lilikuwa ni jini.
Stori itaendelea bro
Ze doniiiiii[emoji36][emoji51][emoji51], nimefungua uzi kwenye daladala[emoji23][emoji23][emoji23]