Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Natamani nimuulize Daemusin kama ameoa ila naogopaChakula hicho hapo.
Vigezo:
1. Uwe na umri kuanzia miaka 18.
Andaeitini hawaruhusiwi kula
2.Uwe umeoa/kuolewa
Karibuni[emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1208400
Kijana mpole marahabaaaNaona unamchukua Maelezo mzee Moud [emoji23]
Namshukuru Mungu mimi ni mzima....weekend inaishia vyema kabisa pande hizi
Maafa yapo ila wao wanaona ni ajali kaziniAisee, hawezi kuleta maafa huyu?
NipoooBinti Mpole
Kijana mpole marahabaaa
Messi kapotelea wapi?
Nipooo
😁😁😁 aaaaMara chache
Mbona unafurahi hivyo kijana mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa majeruhi kama Mwezi hivi utamuona jumanne pale Signal Iduna Park kwenye champions league group stage
Wingu kubwa na baridi ya kwenye frijiMnatunyima nini hapo Chato