Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kuna mmoja kwa kutumia ID hiyo hiyo stori ya kwanza alimtongoza mtoto wa kike kutoka familia ya mboga saba akakubaliwa.

wiki tatu baadae kwa kutumia ID hiyo hiyo alitongozwa na baharia tajiri.
kumbe alikuwa ni shemale

MMU wengi wa wachangiaji wake ni --------------------------------------------
Fanya kama unamalizia...........
 
FB_IMG_1568475382965.jpeg
 
 
akutukanaye hakuchagulii tusi.

Pep Guardiola: “Congratulations Liverpool, you are the Champions. We’re in September, what can you do?”

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
teh teh ahsante kwa ofa yako na pole kwa kwenda mchomo

An informal way of saying, “I'm hungry”:
배고파 = bae gopa

and not bogoshipda (보고 싶다 ) = i miss you

nathubutuje kutamka hadharani kummiss mtoto wa waziri mkuu mstaafu japokuwa natamani iwe hivyo japo kwa njia ya time travel kama domin joon shi on my love from another star?

happy sunday
ahadi yangu ya kuja kula pilau kwako ifikapo christmas bado ipo pale pale labda atokezee baharia achomoe betri yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] duuh nimechapia, jitolee basi kwa siku unampa noona msamiati mmoja.
Kuhusu pilau, nilikuambia wakati wa Idd kuwa Christmas haiko mbali malipo ni hapahapa duniani
 
Mara chache

[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️[emoji1549]‍♂️

Mmmmh
 
Shukrani sana. Wanoko wa lumumba wanakuja huko na vitisho vyao na matusi ya nguoni. Ukirudisha mapigo mbio kwa MODS kulalama BAK kanitukana. Na MODS bila kuchunguza nani alianza kutumia lugha chafu mie ndiye huishia lupango. Nakufollow nawe unifollow mlango utakuwa wazi. [emoji257][emoji257][emoji257]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana Chief yaani raia anakufata DM kwa lengo la kukutukana tu
 
Ahsante sana Mkuu, haya maccm ni pasua kichwa. Hayana hoja hivyo hupenda sana kutumia lugha chafu. Na Mwigulu Nchemba aliyewaleta hapa analijua hilo. Hivyo akawapa ruhusa kutumia lugha chafu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana Chief yaani raia anakufata DM kwa lengo la kukutukana tu
 
Back
Top Bottom