Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hebu weka picha ya kipensi tuone miguu hiyo!
cha ajabu zaidi alinunua pensi kwa shilingi 3000/= lakini chini amevaa viatu vyenye thamani ya shilingi 2500.
cha kuchekesha zaidi ilikuwepo suruali ndefu yenye thamani ya shilingi 15000.

kuhusu miguu vidole vyake vinafanana na miguu hii
1568551129847.png
 
Kwani ulikuwa hujashitukia.
Kuna muda uzi huu unafanywa kama gulio, kuna nyuzi huwa zinatupiwa huku, utakuta comment tofauti na maudhui ya hapa.
Mi niliwaona muda mwingi watu wa MMU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849]
Wala hata sikuwa na habari.

Me nilishtuka pale jina LA kiume afu kimwandiko kipo kike kike 😂😂 watu wa MMU bana
 
cha ajabu zaidi alinunua pensi kwa shilingi 3000/= lakini chini amevaa viatu vyenye thamani ya shilingi 2500.
cha kuchekesha zaidi ilikuwepo suruali ndefu yenye thamani ya shilingi 15000.

kuhusu miguu vidole vyake vinafanana na miguu hii
View attachment 1208278
OMG! 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom