Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha ndioo bana, mambo ya vijana
kuna mmoja kwa kutumia ID hiyo hiyo stori ya kwanza alimtongoza mtoto wa kike kutoka familia ya mboga saba akakubaliwa.

wiki tatu baadae kwa kutumia ID hiyo hiyo alitongozwa na baharia tajiri.


MMU wengi wa wachangiaji wake ni --------------------------------------------
 
Shukrani sana. Wanoko wa lumumba wanakuja huko na vitisho vyao na matusi ya nguoni. Ukirudisha mapigo mbio kwa MODS kulalama BAK kanitukana. Na MODS bila kuchunguza nani alianza kutumia lugha chafu mie ndiye huishia lupango. Nakufollow nawe unifollow mlango utakuwa wazi. 🌹🌹🌹

Kwanini umefunga PM🙄
Nataka kuja kukusalimia 😀
 
Shukrani sana. Wanoko wa lumumba wanakuja huko na vitisho vyao na matusi ya nguoni. Ukirudisha mapigo mbio kwa MODS kulalama BAK kanitukana. Na MODS bila kuchunguza nani alianza kutumia lugha chafu mie ndiye huishia lupango. Nakufollow nawe unifollow mlango utakuwa wazi. 🌹🌹🌹
Hao unaachana na hao, akikuqoute unajifanya kama hujaona.

Asante kwa kunifungulia mlango 🌷🌺
 
Back
Top Bottom