Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nitakuongezea na kimchi
Hivyo umesema unanimiss?[emoji85][emoji85]
teh teh ahsante kwa ofa yako na pole kwa kwenda mchomo

An informal way of saying, “I'm hungry”:
배고파 = bae gopa

and not bogoshipda (보고 싶다 ) = i miss you

nathubutuje kutamka hadharani kummiss mtoto wa waziri mkuu mstaafu japokuwa natamani iwe hivyo japo kwa njia ya time travel kama domin joon shi on my love from another star?

happy sunday
ahadi yangu ya kuja kula pilau kwako ifikapo christmas bado ipo pale pale labda atokezee baharia achomoe betri yangu.
 
Sawa 😀
walichokosea uongozi wa JF ni kuifanya hii forum uwe na uwezo wa kuaccess bila ya kuwa na account tofauti na social network mfano fb, twitter.

ndio maana social network si rahisi kumuona user anatumia fake information kwa sababu inakuwa ni vigumu kufahamu alichokifanya member mwengine wakati anajiunga.

wiki mbili zilizopita nilizifuta account zangu zote za kijamii nilizojaza taarifa zangu sahihi na kufungua account mpya kwa kutumia fake email and fake username kama jf.

huku jf unamuona cinderella anajiita fragaria
joseph anajiita shimba ya buyenze.
what next?

na mimi pandu ngozi nitajipa jina la prince nabil don elbalchadey.
this is JF.
sura yangu mbaya kama vampire
 
Josefu unaitwa hukuuuu!
 
😂😂😂😂 sawa Prince Nabil

We week picha kwanza tukusaidie kuangalia
 
Back
Top Bottom