ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,803
- 24,943
Wameamua kumfichia aibu
mods qanakuaga wamelewa
mods qanakuaga wamelewa
Umesahau kuandika ni I'd ya mtu mmoja [emoji3][emoji3]
Sisi wengine ni Yanga na ni Man city.
#AsiyekubaliKushindwaSiMshindani
#WahengaHao
Asalaam Alyeikum, naona Umefurahi mpendwa[emoji23][emoji23]
Umesahau kuandika ni I'd ya mtu mmoja 😀😀
nilichokusudia mimi wanawake wote wana undugu hayo mambo ya fyekero wala sina khabari nayo.Wee sema kweli
Nilikuelewa mpendwa.nilichokusudia mimi wanawake wote wana undugu hayo mambo ya fyekero wala sina khabari nayo.
mmoja yupo dubai na mwengine yupo russia anagonga vodka kama mpemba na chai
👊👍nilichokusudia mimi wanawake wote wana undugu hayo mambo ya fyekero wala sina khabari nayo.
mmoja yupo dubai na mwengine yupo russia anagonga vodka kama mpemba na chai
Kwani nyie mlikuwa kwenye Uzi gani mpaka mletwe huku 🙄Heeee ule uzi wameutupa huku
Depal is a village and a gram panchayat in Ramnagar II Block in Contai subdivision of Purba Medinipur district in the Indian state of West Bengal.
wanatoka mbinguniKwani nyie mlikuwa kwenye Uzi gani mpaka mletwe huku 🙄
umerithi nafasi ya myoyambendi2:18
😀😀 yani kuna kijua kibaya Leo kama sio saa 8umerithi nafasi ya myoyambendi
kuna kasichana mrembo amepita mbele yangu muda huu uso manjanoo kama amepakwa unga wa dengu.
😅😅 sidhani maana sio kwa comments zao zilewanatoka mbinguni
Hahaha sio kapaka manjano huyo? 😂kuna kasichana mrembo amepita mbele yangu muda huu uso manjanoo kama amepakwa unga wa dengu.
nilipouliza wambea wameniambia binti amepaka makeup
binafsi nilishangaa asubuhi nilipowaona majasusi wamevamia nyuzi ya watu tokea saa 11 asubuhi😅😅 sidhani maana sio kwa comments zao zile
Deborah Patrick lwasaiDepal is a village and a gram panchayat in Ramnagar II Block in Contai subdivision of Purba Medinipur district in the Indian state of West Bengal.