moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
mods qanakuaga wamelewaHeeee ule uzi wameutupa huku
Kwani ni lazima tukumbushane kila leo? Jizazi [emoji36][emoji36][emoji36]
Woiiiii 😂😂Kumbe we ndo Miss natafuta[emoji33]
😂😂😂😂🙄🙄😲😲😲Mkuu umejisahau umetumia ID yako ya kiume.... Sasa mkuu why unajifanya miss kumbe ni dume...
Haaaahaha😂😂😂😂🙄🙄😲😲😲
😂😂😂hivi hizi kucha ndefu wanawake huwa wanazifuga au wanazibandika kwa super glue?
msaada tafadhali
Felister jibu
hivi SHIMBA YA BUYENZE amepata usingizi jana kwa hizi fujo zako?
Nijibu nini? Hizo tips( kucha bandia) wanabandika na gundi maalumu nahisi hivyo.Felister jibu
Kwamba!! Ndio umemlinda hapo na mkanda asitingishike?/😂😂Weekend Njema WanajukwaaView attachment 1207975
Kwani wewe hujabandika.... Mbona jana nilikuona nazoNijibu nini? Hizo tips( kucha bandia) wanabandika na gundi maalumu nahisi hivyo.