Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

umesahau kulogout mkuu, multiple ID inahitaji umakini
Na ndiyo maana humu hautakiwi kunyegereshwa na maneno ya kimapenzi yatokayo kwa watu wanaoigiza uanamke.

Tena Insta na fb ndiyo huo uozo umetamalaki na kila siku watu hulizwa kwa kutumia mapichapicha!

Mtu anakuigizia kabisa jike, anakutiririkia miadi mpaka unamtamani love bure!

Ujue kuna wanaume hawachagui sura wala wajihi wa mwanamke, wao uchawi wao ni maneno ama sauti nyororo kwisha!

Sasa udhaifu huo unatumika kuliza watu wasio watafiti.
 
Neno Moja nimelitaka kwa BWANA,Nalo ndilo nitakalolitafuta,Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa BWANA,Na kutafakari hekaluni mwake.
 
FB_IMG_1568526107074.jpeg
 
Back
Top Bottom