BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Vijana watakua na ushawishi wa hali ya juu maana kapeti alilotandika mwilini si la kawaida.
Sina uwiii nshazoea ubuyu mwepesi wa insta
huo wimbo unanishinda kuuangalia mpaka mwisho mara kwa mara
Hahahaa feki hioBasi sawa sisi sote ni wamoja View attachment 1208412
Hiyo hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha daemusin banaNumbisa binti mpole.
Cole Williams kijana mpole.
jamani huu upole wao mbona hawauonyeshi pindi wanapobishana juu ya team zao pendwa (messi na ronaldo)?
natangaza rasmi kuanzia leo.
Numbisa atakuwa binti mbabe wa cole williams na davet.
cole williams atakuwa kaka mbabe wa Numbisa.
full stop anayebisha afanye maandamano ya kukamatwa ndege.
View attachment 1208411
wimbo una chembe chembe za CCMKwanini Mkuu?
wimbo una chembe chembe za CCM
Wanawake huvutiwa zaidi na wanaume mwenye maumbo makubwa, kiuno flani chembamba, mabega yenye nguvu na kifua kipana.
Hahahaa feki hio
Mie sio mkatoliki ila acha tu nimstahi papa wa watu hahahaa
Hahahaa feki hio
Mie sio mkatoliki ila acha tu nimstahi papa wa watu hahahaa
Hahahaa si kweliUmenichekesha sana ungekuwa karibu ningekupa hi 5
Yaani wewe habari ya kweli hiyo