Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hawa jamaa wanahangaika sana hahahaPhotoshop hiyo
Hawa jamaa wanahangaika sana hahahaPhotoshop hiyo
Haka ka wimbo enzi kanatoka kalivuma sana
Hawa jamaa wanahangaika sana hahaha
Hahahaha enzi hizo raha eti su au apiahesabu moja mpaka 10
halafu sema su,
michezo ya utotoni pale panapokuwepo ushindani wa kijinga wa kufanya jambo munatishana kama hivyo