Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120]
FB_IMG_1568565123537.jpeg
 
Hahahahaha lol! Na weye na ccm kama BAK vile 😂😂😂😂😂😂
mkuu nitawapendaje CCM haliyakuwa wamenisababishia nikose mke wa kiarabu pamoja na shamba la mikarafuu 100 kisiwani pemba endapo maalim seif angelitangazwa kuwa raisi wa zanzibar.

pumbavu zake mzee wa bao la mkono bwana jecha.
sijui alitumia sabuni ya family medicated siku ile aliyofuta uchaguzi?

CCM wameshinda na umasikini wangu umerudi vile vile.
 
Back
Top Bottom