moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Chakula kibichi ni Bora zaidi kuliko kilichoharibiwa na moto[emoji23]
unakula mihogo mibichi kama sungura wakati nazi unayo, huyo mchumba wako ndiye amekutia ujinga wa kutafuta nguvu za kiume namna hiyo.
naomba umuache utafute anayejua kupika.
View attachment 1208409