moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Unajua utaratibu wa kutoa nyimbo mpya kila mwaka nao haufai.
Kama anavyofanya ndugu yetu Diamond.
Nadhani ukitoa kazi nzuri kama hiyo ni vema uwaache mashabiki waendelee kuifurahia hata kwa miaka mitatu au minne hivi kabla hujatoa nyingine
Kama anavyofanya ndugu yetu Diamond.
Nadhani ukitoa kazi nzuri kama hiyo ni vema uwaache mashabiki waendelee kuifurahia hata kwa miaka mitatu au minne hivi kabla hujatoa nyingine
Sijui kwanini hasikiki siku hizi huyu, bado anapendwa sana lakini hajatoa nyimbo mpya kipindi sasa.