Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

...Kwenye maonyesho ya mabaharia.
Baharia akionyesha uwezo wake
FB_IMG_1568555606102.jpeg
 
Hahaha, pole
mkuu nitawapendaje CCM haliyakuwa wamenisababishia nikose mke wa kiarabu pamoja na shamba la mikarafuu 100 kisiwani pemba endapo maalim seif angelitangazwa kuwa raisi wa zanzibar.

pumbavu zake mzee wa bao la mkono bwana jecha.
sijui alitumia sabuni ya family medicated siku ile aliyofuta uchaguzi?

CCM wameshinda na umasikini wangu umerudi vile vile.
 
Back
Top Bottom