Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watoto wa Kishua wanajua nini kinaendelea hapo?
FB_IMG_1568492322048.jpeg
 
Waaacha wee[emoji847].....Jumapili yangu ilikuwa na pilika za hapa na pale kuianza wiki upya!

Za hapo home getikali.? [emoji23]

Pilika muhimu sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa Fresh tu mixer mbwa Koko kibao wanakula uchafu na makelele ya singeli

Hivi unafahamu hata singeli ni nini
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], nani anakufundisha mambo ya mtaani huyo usiongozane nae.....hivi cole gym club una attend wapi[emoji23]
 
Gym ya nini sasa The happiness, push up zinatosha gym ni kwa ajili yenu ninyi wakishua tena mnakuwa na trainer wenu
 
Back
Top Bottom