Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SABABU 8 KWANINI UNATOKWA NA JASHO JINGI WAKATI WA USIKU?
-----------------------------------------------------------------------------------
Mara kwa mara madaktari wamekuwa wakipokea malalamiko kutoka kwa wagonjwa wao wakilalamika kutokwa na jasho kwa wingi wakati wa usiku.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Gym ya nini sasa The happiness, push up zinatosha gym ni kwa ajili yenu ninyi wakishua tena mnakuwa na trainer wenu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] push ups wapiii....Mimi wa mtaani pure, hata sijui maana ya trainer[emoji41].!
 
SABABU 8 KWANINI UNATOKWA NA JASHO JINGI WAKATI WA USIKU?
-----------------------------------------------------------------------------------
Mara kwa mara madaktari wamekuwa wakipokea malalamiko kutoka kwa wagonjwa wao wakilalamika kutokwa na jasho kwa wingi wakati wa usiku.
 
3. Maambukizi.
Mtu mwenye maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu (TB) hutokwa na jasho jingi usiku. Maambukizi ya bakteria, kama vile maambukizi kwenye kuta za ndani za moyo yanayoathiri sana valvu za moyo (endocarditis), maambukizi kwenye mifupa (osteomyelitis), pamoja na majipu (abscess) husababisha mtu kutokwa na jasho jingi usiku. Kutokwa na jasho jingi nyakazi za usiku pia ni dalili ya kuwa na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
 
Saratani.
Kutokwa na jasho jingi usiku ni dalili ya awali kwa baadhi ya saratani. Saratani ambayo dalili yake kuu ya awali ni kutokwa na jasho jingi usiku ni Saratani ya mfumo wa kinga ya mwili inayoathiri chembe chembe za limfu (Lymphoma). Hata hivyo watu ambao hawajagundulika kuwa na saratani wanaweza kuwa na dalili nyingine zikiwemo kupungua uzito, pamoja na kuwa na homa za vipindi.
 
Dawa. Matumizi ya dawa fulani za binadaamu hupelekea kutokwa na jasho usiku.
Dawa za kutibu msongo wa mawazo pamoja na dawa nyingine za magonjwa ya akili hupelekea mtu kutokwa na jasho jingi usiku kwa 8% hadi 22%. Dawa za kushusha homa mwilini, kama vile aspirin pamoja na acetaminophen, huwa zinapelekea mtu kutoka jasho.
 
Kushuka kwa kiwango cha sukari kwenye damu (hypoglycemia).
Kiasi kidogo cha sukari kwenye damu hupelekea mtu kutokwa na jasho. Watu wanaotumia insulin au dawa za kumeza za kushusha kiwango cha kisukari mwilini hutokwa na jasho.
 
Back
Top Bottom