Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maumivu makali – kama yatokanayo na kuvunjika, kuteguka kiungo kikubwa kama goti au bega..
• Madawa ya kulevya – kama cocain, pombe kali; Pia kuacha ghafla au kukosa madawa haya kwa mtumiaji - Mara nyingi hii huambatana na hali ya kutetemeka-tetemeka (tremors)
 
Vijidudu kwenye damu (infections)– Malaria, virusi (viral illnesses),bacteria n.k
• TB (Tuberculosis) – Jasho jingi hasa wakati mtu amelala, kupungua uzito na dalili nyingine.
• Magonjwa hatari ya moyo (heart attack, heart failure etc) – huenda yakaambatana na kifua kuuma, kukosa hewa, presha kushuka au moyo kwenda mbio.
 
Chakula hicho hapo.
Vigezo:
1. Uwe na umri kuanzia miaka 18.
Andaeitini hawaruhusiwi kula
2.Uwe umeoa/kuolewa
Karibuni[emoji2211][emoji2211][emoji2211]View attachment 1208400
unakula mihogo mibichi kama sungura wakati nazi unayo, huyo mchumba wako ndiye amekutia ujinga wa kutafuta nguvu za kiume namna hiyo.
naomba umuache utafute anayejua kupika.
 
Magonjwa hatari ya mapafu – kama damu kuvilia kwenye mapafu (pulmonary embolism), maji kujaa kwenye mapafu(pulmonary oedema), hewa kuzunguka mapafu (pneumothorax) n.k – haya pia huambatana na dalili kama za magonjwa ya moyo zilizotajwa hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…