Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie naomba kujua kama kutoka jasho wakati wa love making ni ugonjwa au kawaida.

πŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸƒπŸ½β€β™‚οΈπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œ

Kutokwa na jasho jingi usiku kusiko kwa kawaida ni ile hali ya kuhisi joto kali usiku linalopelekea kuvuja jasho jingi na kulowesha nguo zako pamoja na shuka na halihusiani na joto la mazingira yanayokuzunguka.
 
inategemea na pambano lenyewe kama unakutana na chuma kigumu kama Musiba lazima jasho likutoke kama mbwa wa polisi aliyepewa mission ya kutafuta unga uliofichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…