Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heheheheeeee BAK bana. Kawaida tena ni zoezi tosha kabisa
 
Kila NTU ana uzoefu wake Mkuu. Love is REAL but also very SPECIAL. Ila bahati pia ya kumpata muelewa inahusika. Kutapeliwa na ME/KE si sababu ya msingi ya kutoamini in LOVE.


Hii ngoma ina Beat kali sana

WAGUMU SISI WE DONT BLV KWENYE HAYO MAKITU [emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548] chair aione hii
 
Chakula unachokula kina athiri hewa inayotoka mdomoni au sehemu nyingine za mwili wako. Baadhi ya vyakula vina matokeo mabaya sana kwa hurufu unayotoa mdomoni. Harufu mbaya mdomoni si ugonjwa wa kuambukiza haina haja kuogopa ukikutana na mtu mwenye harufu mbaya mdomoni kwamba atakuambukiza.
 
Pia tatizo kubwa ni kwamba watu wenye harufu mbaya mdomoni hawajijui kwamba wana harufu mbaya. Asilimia 85 – 90% ya tatizo la harufu mbaya mdomoni asili yake ni kinywa chenyewe. Pia kiwango cha harufu hutofautiana kutokana na muda (mchana, usiku na asubuhi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…