Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahaha kuna saa nawapenda mods maana kuna watu huwa wanaudiss huu uzi be like sijawahi koment kule likes mara paap wametupiwa humu hasa ile mimbaba mibishi
Yaani mods sio watu wazuri kabisa jamani