Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,403
- 465,266
Ila wanakosea mnooKawaida yao,wamegeuza jalala la MMU
Ila wanakosea mnooKawaida yao,wamegeuza jalala la MMU
Pole mno jamaniMambo mengi tu hadi nakosa muda wa kuja humu
We acha tu hata saa niliawacha kwake. Ogopa mapro wa kudanga
Ngoja nipambane kitaeleweka ndukiMkuu pambana na hali yako
Bwana we! Ntakusimlia baada ya kupambana na hali yangu! Wahasibu taabu tupu[emoji23][emoji23][emoji23], ilikuwaje kiongozi mpaka ukauze pikipiki?
Nilichapia Bana ilitakiwa iwe naombaUnaota mkuu?
What is going on? mamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] makubwa kumbe vichaa ni wengi humu sijajua
[emoji44][emoji44] jesusI rejected a cheque of 50million simply because that idiot gave me with left hand I hate rubbish in my life [emoji35]
Hahahaha kuna saa nawapenda mods maana kuna watu huwa wanaudiss huu uzi be like sijawahi koment kule likes mara paap wametupiwa humu hasa ile mimbaba mibishi
Yaani mods sio watu wazuri kabisa jamani