Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Yaani mods sio watu wazuri kabisa jamani
Mazungumzo na scrini shoti wapi na wapi? Simu yangu ukipiga inatoa sauti si maandishi! Pengine Shunie ataweza kunituliza majeraha uliyoniachia.Hujui nasherekea nini hujui kabisa so utajiju.
Umeuza pikipiki yako acha uongo eti kisa mimi eti dau likawa kubwa toa screen shots za mazungumzo yetu
Unaota mkuu?Naota niTag kwa huo Uzi tafadhali
We acha tu hata saa niliawacha kwake. Ogopa mapro wa kudanga[emoji23][emoji23][emoji23]mmenifanya nicheke asee