Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124][emoji124][emoji124]
tapatalk_1568988404097.jpg
 
Ila ukijiandaa vizuri na mtihani halafu unaingia chumba cha mtihani na confidence raha sana. Unapewa paper na kuambiwa sasa unaweza kuanzia mtu gani.

Mie huzoom maswali yote haraka haraka ili kujua kama kuna mandatory question(s) yapo maswali mangapi na maswali gani ni rahisi niyapige kwanza hayo.

Sasa pale unapogundua maswali yote unaweza kuyajibu vizuri kwa kiwango cha 99% unakenua kwanza 😂😂😂😂😂😂😂 unajua ukitulia una msonge A+ wako wa nguvu.

Kuna mijitu ilikuwa inapendaga sifa[emoji23].

Ha wa yu BAK
 
Katika Maisha tunapitia mambo mengi
sana ambayo kwa namna moja au nyingine
hufanya maisha kuvutia au sometimes
kukarahisha, Hii ni hali ya kawaida kwa
Binadamu hivyo basi yabidi kukubaliana
nayo coz hizo ni just 'ups' n 'downs' katika maisha ila chamsingi ni kutokata tamaa na
daima kusonga mbele
 
UGUMU WA MAISHA Hili ni tatizo kubwa Duniani kote hivyo basi
haina haja ya kujipa stress kama maisha
yamekua magumu kwako basi ndiyo
mwisho wa kila kitu cha msingi ni kuweza
kumiliki ulivyonavyo kinachotutesa wengi
wetu ni kutaka mambo makubwa wakati uwezo ni mdogo.
 
Yanini ukakope ili
kuweka heshima mtaani au kujifanya
unakula burger daily wkt kipato chako ni
cha chini?
kua simple fanya vitu vya uwezo wako
hapo daima utaenjoy chamsingi ni kua na malengo ya maisha yako si vyema kuishi
maisha kwa kuiga wengine mana hujui
njia walizopitia.
 
Pia ni muhimu kuweka
akiba kwa ajili ya mabadiliko yoyote
katika maisha kumbuka leo unafanya kazi
au unapata pesa lakini ipo siku unaweza ukafukuzwa kazi au hutopewa tena pesa
so yabidi kujiandaa kwa kipindi kama
hicho.
Remember Self Commitment is what
matters in everything you do.
 
Back
Top Bottom