Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚shuka huko kwa kaka yake dhalimu 😜😜😜ukajichagulie mmoja matata sana.

anavyojidai anawatoa rwanda.

ninavyofahamu mimi wanawake wa rwanda wote ni rangi ya chocolate lakini ukimuangalie yule ana rangi nyeupe kama maziwa ya unga
 
Kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa je ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote na kwa wanaume wanaopenda wanawake zao wavae shanga ni kusisimuana tu je mnafahamu zinamaanisha nini haya sasa..
 
katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…